Sunday, July 10, 2016

ushauri na maoni

http://tanzaniaveterinarycenter.blogspot.com/

Von gottes kraft getragen vet center 

Tunayo furaha kuwa taarifu kuwa tumepokea ushauri wenu wa kuboresha kituo chetu cha afya mifugo na uvuvi na hizi ni baadhi ya maono yetu na majibu yetu kwenu:



1)Group la Whatapp
     
Maono yetu ni:
a) Hatutaweza kuwa na group ya whatapp
     
Sababu:
Kutokana na ukweli kuwa group lolote linapo anzishwa awali linakuwa na mwamko mkubwa sana ila baada ya muda mfupi hubadilika na hupoteza maudhui ya group.
Ila kwa kutabuwa umuhimu wa mawasiliano kati yetu VON GOTTES KRAFT GETRAGEN VET CENTER na wateja wetu tupo katika harakati ya kutengeneza Data base ambayo itatupa urahisi zaidi wa kuwasiliana naye na kuwapa huduma bora zaidi.

2)Maana ya jina
   
Maono yetu ni:
Jina la kituo chetu lina maana mzuri sana na wakati likipishwa lilipata asilimia 100%
Bia Breal (wasajili wa majina ya biashara) wamelilidhia na kutupa jina hilo kama jina letu la biashra
Ni jina ambalo tumeliona lina tufaa kwa jinsi VON GOTTES KRAFT GETRAGEN VET CENTER Vet Dr  tulivyo. (ila ukihitaji kulijuwa wasiliana nami 0654519181)

Tuna wakalibisha zaidi katika dawati letu ili tuwezekuboresha huduma zetu na kufanikisha athuma yetu ya kutoa huduma bora

KARIBUNI SANA

ASANTE SANA

No comments:

Post a Comment