Wednesday, July 6, 2016

Anthrax / kimeta

Anthrax, Is the a highly infectious and fatal disease of mammals and humans,
Caused by  Bacillus anthracis.

Anthrax occurs on all the continents: "Ni ungojwa unaotokea ulimwenguni kote"
Causes acute mortality in ruminants and is a zoonosis.
zoonosis: "Ni kitendo cha ungonjwa kuwa na uwezo wa kuthuru mwanadamu"
causing a high mortality rate. "Vifo kutokana na ungonjwa huu huwa maradufu sana"               Anthrax is typically a disease of ruminants and humans."Ni ungonjwa kwa mifungo(ng ombe) na binadamu"


Clinical Signs / (Dalili)

Sudden death (kifo cha dharura au ngafula)

Very occasionally some animals may show trembling (kutetemeka kwa mnyama)

difficulty breathing before death. (kabla ya kufa kuhema inakuwa shida sana)

After death blood do not clot (baada ya kufa damu haigandi)

resulting in a small amount of bloody discharge from the nose, mouth and other openings
(kutokwa na damu sehemu zote za uwazi kwenye mwili)

Ukiona dalili hizo na zingine ambazo sio kawaida kwa mmyama wako
(ungonjwa huu unawezakusababisha kifo au vifo kwa binadamu.Kama afisa wa mifugo hatokupo ni vema kuwasiliana nasi kabla haujafanya chochote kwa mnyama)

TAAFADHARI SANA wasiliana nasi

Number ya simu : 0654519181 / 0755381455
Email; vongotteskraftgetragenvetcenter@hotmail.com

No comments:

Post a Comment